- mustakabali
- [Swahili Word] mustakabali[Swahili Plural] mistakabali[English Word] future[English Plural] futures[Part of Speech] noun[Class] 3/4[Swahili Example] wawakilishi kutoka nchi zaidi ya mia moja na themanini, wanakutana kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kujadili mustakabali wa mkataba uliosaniwa miaka 35 iliyopita, kudhibiti kusambaa kwa teknolojia ya silaha za kinuklia [http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2004/06/000000_amkanabbc.shtml BBC 2 Mei 2005][English Example] representatives from more than 180 countries are meeting at the UN headquarters to discuss the future of the treaty forged 35 years ago controlling the spread of nuclear weapons technology------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.